Saint Paul, Minnesota
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Saint Paul ni jina la mji mkuu wa jimbo la Minnesota huko nchini Marekani. Upo katika eneo la Mto Mississippi kutoka Minneapolis. Pale watu wanapozungumzia kuhusu miji hii, wanaiita Miji Pacha. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 300,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 214 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 145.5 km².


Remove ads
Viungo vya Nje
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Saint Paul, Minnesota kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads