Sunna
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sunna (pia: sunnah, kutoka Kiarabu : سنة, neno linalomaanisha "mila", "mapokeo" au "njia". [1]) Kwa Waislamu, Sunnah inamaanisha "njia ya mtume Muhammad"[2].

Wasomi Waislamu wanajifunza juu ya Sunna kwa kusoma hadithi elfu kadhaa juu ya Muhammad, familia yake, na wafuasi wake wa kwanza. Haditho hizi zinaitwa Hadith.
Jina la dhehebu kubwa katika Uislamu ni Wasuni, nalo limetokana na neno sunna, kwa maana ni waumini wanaolenga kufuata sunna ya mtume wao.
Remove ads
Marejeo
Tazama pia
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads