Theodeilde
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Theodeilde (pia: Theodehilde, Thelchildes, Telchilde; alifariki Jouarre, Ufaransa, 667) alikuwa abesi wa monasteri ya kike[1] iliyoanzishwa huko na jamaa yake Ado, ndugu wa askofu Dado[2][3].
Mwanamke toka ukoo wa kikabaila, aliyeng'aa kwa stahili na uimara wa maadili[4], kwa miaka 47 alifundisha mabikira waliojitoa kwa Kristo namna ya kumlaki na taa zenye kuwaka [5].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[6][7][8].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads