Theodoro wa Amasea
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Theodoro wa Amasea (kwa Kigiriki: Θεόδωρος) alikuwa askari Mkristo ambaye, kwa ajili ya imani aliyoikiri kwa ushujaa wakati wa dhuluma, aliteswa, akafungwa na hatimaye akauawa kwa kuchomwa moto katika mji huo wa Uturuki wa leo mwanzoni mwa karne ya 4 (306 hivi[1][2][3][4][5]).



Gregori wa Nisa alimsifu kwa hotuba yake maarufu.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Novemba au 17 Februari[6].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads