Trofimo wa Arles
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Trofimo wa Arles (aliishi karne ya 3 BK) alikuwa askofu wa kwanza wa Arles (leo nchini Ufaransa)[1].

Maisha
Kadiri ya wanahistoria Wakristo[2]. chini ya kaisari Decius (250 BK), Papa Fabian alituma maaskofu 7 kutoka Roma kwenda Gallia (Ufaransa wa leo) wakahubiri Injili: Grasyano huko Tours, Trofimo huko Arles, Paulo huko Narbonne, Saturnini huko Toulouse, Denis huko Paris, Austremoni huko Clermont na Martial huko Limoges[3].
Tangu kale Trofimo anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Desemba[4].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads