U-God

From Wikipedia, the free encyclopedia

U-God
Remove ads

Lamont Jody Hawkins (amezaliwa tar. 7 Oktoba 1970) ni msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Huyu ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la marapa la Wu-Tang Clan. Yeye amekuwa na kundi hilo tangu kuanzishwa kwake, na unajulikana kwa kuwa na kina kirefu, yaani, kwa staili yake ya kuimba kama anasinzia na kuweza kuibadili kuwa ya kigumu halafu ya laini. Huyu huenda akawa mwanachama mwenye daraja la chini sana kundini.

Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Pia anajulikana kama ...
Remove ads

Wasifu

Hawkins alizaliwa mjini Brownsville, Brooklyn, New York. Lakini alihamia mjini Staten Island akiwa bado bwana mdogo. Awali alikuwa mpiga biti wa mwanachama wa Clan, Cappadonna, vilevile kuwa baadaye rafiki kubwa wa wanachama wenzi wa kundini, Method Man, Inspectah Deck, na Raekwon. Kabla ya kujiunga na kundi, U-God alivutiwa sana na rap ya Cappadonna. Baadaye kidogo akaja kuwa rafiki wa karibu wa RZA na Ghostface, na akaanza kupasuka kundini akitumia jina la Golden Arms, ambalo linatoka na filamu ya Kung-Fu ya The Kid with the Golden Arm. Baadaye akabadili jina lake na kujiita U-God.[1] U-God has also stated that he has been diagnosed with schizophrenia.[2]

Remove ads

Diskografia

Albamu za Kujitegemea

Maelezo zaidi Mwaka, Jina ...

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads