Vito wa Pontida
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Vito wa Pontida, O.S.B. (alifariki 1096 hivi), alikuwa abati wa monasteri ya Wabenedikto wa urekebisho wa Cluny iliyoanzishwa na Alberto wa Pontida huko Lombardia, Italia[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Septemba[2] pamoja na mwenzake Alberto[3].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads