Waata

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Waata (au Waat, Watha) ni kabila lenye asili ya Kikhoisan linalokalia tangu kale pwani ya Kenya (kaunti ya Tana River na kaunti ya Lamu). Wanakadiriwa kuwa 13,000.

Lugha mama yao ni Kiwaata, mojawapo kati ya lugha za Kikushi[1].

Wana undugu wa asili na Waaweer na Wadahalo nao wote wanaitwa Wasanye.

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads