Waaweer
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Waaweer (pia: Waboni) ni kabila lenye asili ya Kikhoisan linalokalia tangu kale misitu ya pwani ya Kenya (Kaunti ya Lamu na Kaunti ya Tana River) na Somalia kusini. Wanakadiriwa kuwa 8,000 [1]
Lugha mama yao ni Kiaweer, mojawapo kati ya lugha za Kikushi. Wengi wao ni Waislamu.
Wana undugu wa asili na Wadahalo na Waata nao wote wanaitwa Wasanye.
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads