Wakarmeli wa Compiègne
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wakarmeli wa Compiègne (karne ya 18 – 17 Julai 1794) walikuwa wanawake 16 wa Ufaransa waliouawa kwa ajili ya imani yao mwanzoni mwa Mapinduzi ya Ufaransa [1].

Kati ya hao Wakarmeli Peku wa monasteri ya Compiègne, 11 walikuwa wamonaki [2], 2 masista [3] na 3 watersiari [4].
Papa Pius X aliwatangaza wenye heri tarehe 27 Mei 1906 halafu Papa Fransisko aliwatangaza watakatifu wafiadini tarehe 18 Desemba 2024.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads