Walburga

From Wikipedia, the free encyclopedia

Walburga
Remove ads

Walburga (Devonshire, Wessex, Uingereza, 710 hivi – Heidenheim, Ujerumani, 25 Februari 779) alikuwa abesi Mbenedikto wa monasteri dabo, ya kike na ya kiume, katika Ujerumani ya leo, alipokuwa amefuata kaka zake wamisionari Wilibaldi na Winibaldi kwa ombi la askofu Bonifas mfiadini.[1][2].

Thumb
Mt. Walburga alivyochorwa.

Anaheshimiwa tangu zamani kama mtakatifu, hasa baada ya kutangazwa na Papa Adriani II tarehe 1 Mei 870.

Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo chake[3].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo ya Kiswahili

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads