Winibaldi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Winibaldi, O.S.B. (pia: Winibald, Winebald, Winnibald, Wunebald, Wynbald; Wessex, Uingereza, 702 hivi - Heidenheim, Bavaria, Ujerumani, 18 Desemba 761) alikuwa mwana wa Rikardo wa Lucca, na ndugu wa askofu Wilibaldi wa Eichstätt na wa Walburga wa Heidenheim ambao wote tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu, sawa naye mwenyewe[1] .

Watoto hao watatu walimfuata Bonifas mfiadini katika kuinjilisha Ujerumani [2] na Vinibaldi alipewa upadirisho [3].
Baadaye alianzisha monasteri dabo huko akawa abati wake wa kwanza[4][5].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads