Wameru (Kenya)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Wameru ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu wanaoishi maeneo ya Meru, Kenya.

Kwa lugha yao, wanajiita "Wangaa" kutokana na jina la mwanzilishi wa kabila lao.

Wana uhusiano wa karibu na Wakikuyu, Waembu, na Wambeere, kumbe ni tofauti kabisa na Wameru wa Tanzania.

Mila

Majina ya urithi

Katika mila na desturi yao, jina ambalo mtoto atapewa huwa na kiambatanishi "mto...", kinachomaanisha "mtoto wa fulani na fulani". Kwenye maandishi, kiambatanishi hiki hufupishwa hadi M'. Kwa mfano, kama jina la mwana ni Kithiki, na la baba ni Mwenda, jina litaandikwa "Kithiki M'Mwenda", lakini kwa matamshi, ni "Kithiki Mto Mwenda"[1].

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads