Zaho
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Zahera Darabid (alizaliwa Mei 10, 1980), anajulikana kwa jina lake la kisanii Zaho, ni mwimbaji wa R&B wa nchini Algeria anayeishi Kanada. [1] [2]

Wasifu
Zahera Darabid alizaliwa mnamo Mei 10, 1980, huko Bab Ezzouar, kitongoji cha mji mkuu wa Algeria Algiers. Akiwa na umri wa miaka 18, yeye na familia yake walihamia Montréal, Kanada. Baba yake ni mtendaji na mama yake ni profesa wa hisabati katika l'Institute national d'informatique of France. Anao pia kaka na dada.[3]
Kazi
Zaho alijifunza gitaa alipokuwa na umri wa miaka saba, na kwa haraka sana akajifunza uimbaji wa Francis Cabrel ndani ya miaka 10.
Mnamo 2008, alitoa albamu yake ya kwanza iliyoitwa Dima, ikimaanisha Daima kwa Kiarabu.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads