Albati wa Trapani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Albati wa Trapani, O.Carm. (kwa Kisisili: Albertu di l’Abati; Trapani, Sicilia, Italia, 1240 hivi – Messina, Sicilia, 7 Agosti 1307) alikuwa mtawa na padri[1].

Kwa mahubiri yale alivuta Wayahudi wengi kwenye Ukristo[2] akasaidia chakula mji wa Messina uliozingirwa na maadui[3][1][4].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Papa Nikola V, Papa Sisto V na Papa Kalisti III walithibitisha heshima hiyo.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads