Mbizi

Jenasi ya ndege wa maji walio na shingo ndefu From Wikipedia, the free encyclopedia

Mbizi
Remove ads

Mbizi au michemba ni ndege wa maji wa jenasi Anhinga, jenasi pekee ya familia Anhingidae. Wana shingo refu na domo refu lenye ncha kali na makali ya menomeno. Huzamia chini ya maji ili kuwakamata samaki wakiuliza domo lao kama mkuki. Huzaa kwa makoloni na hujenga tago lao la vitawi mitini au kwa matete.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Remove ads

Spishi ya Afrika

  • Anhinga rufa, Mbizi (African Darter)
    • Anhinga r. rufa, Mbizi wa Afrika
    • Anhinga r. vulsini, Mbizi wa Madagaska

Spishi za mabara mengine

Spishi za kabla ya historia

  • Anhinga subvolans (Mwanzo wa Miocene ya Thomas Farm, MMA) – zamani iliainishwa katika Phalacrocorax
  • Anhinga cf. grandis (Kati ya Miocene ya Kolombia mpaka mwisho wa Pliocene ya Amerika Kusini)
  • Anhinga sp. (Kati ya Miocene ya Mátraszõlõs, Hungaria)
  • Anhinga fraileyi (Mwisho wa Miocene mpaka mwanzo wa Pliocene ya Amerika Kusini)
  • Anhinga minuta (Mwisho wa Miocene/mwanzo wa Pliocene ya Amerika Kusini)
  • Anhinga pannonica (Mwisho wa Miocene/mwanzo wa Pliocene ya Tataruş-Brusturi, Hungaria na Libiya, Tunisia, Pakistan na Uthai)
  • Anhinga grandis (Mwisho wa Miocene mpaka mwisho wa Pliocene ya MMA)
  • Anhinga malagurala (Mwanzo wa Pliocene ya "Charters Towers", Australia)
  • Anhinga sp. (Mwanzo wa Pliocene ya "Bone Valley", MMA)
  • Anhinga hadarensis (Mwisho wa Pliocene/mwanzo wa Pleistocene ya Afrika ya Mashariki)
  • Anhinga sp. (Mwanzo wa Pleistocene ya Coleman, MMA) – labda ni moja na Anhinga sp. "Bone Valley"


Picha

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads