Atrata
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Atrata (kwa Kieire: Athracht[1]; kwa Kilatini: Attracta; aliishi Ireland, karne ya 6) alikuwa abesi, dada wa askofu Konal wa Drumconnell.

Inasemekana alipewa na Patrisi wa Ireland shela ya kibikira [2] na anatajwa kama mmonaki, abesi, na mwanzilishi wa monasteri kadhaa za kike [3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads