Bavaria

From Wikipedia, the free encyclopedia

Bavaria
Remove ads

Bavaria (Kijerumani: Bayern) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 12,5 kwenye eneo la 70 551 km². Mji mkuu ni München. Waziri mkuu ni Markus Söder (CSU).

Thumb
Jimbo la Bavaria
Thumb
Mahali pa Bavaria katika Ujerumani
Thumb
bendera ya Bavaria

Jiografia

Hesse imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Baden-Württemberg, Hesse, Thuringia na Saksonia.

Miji mikubwa ni pamoja na München, Nürnberg, Augsburg na Würzburg.

Danubi na Main ni mito muhimu zaidi.

Picha za Bavaria

Tovuti za Nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bavaria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Maelezo zaidi Majimbo ya Ujerumani ...
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads