Bernodi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Bernodi
Remove ads

Bernodi (pia: Bernold, Bernulf, Benno au Bernulphus; alifariki Utrecht, leo nchini Uholanzi, 19 Julai 1054) alikuwa askofu wa mji huo tangu mwaka 1027 hivi.

Thumb
Mt. Bernodi.

Alikomboa makanisa na monasteri kutoka mamlaka ya watawala, aliyanzisha makanisa mapya mengi na kufanya monasteri zifuate urekebisho wa Cluny [1].

Anaheshimiwa tangu zamani kama mtakatifu[2].

Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe 19 Julai[3].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads