Filomeno wa Ankara
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Filomeno wa Ankara (alifariki Ankara, Galatia, katika Uturuki ya leo, 274 hivi) alikuwa Mkristo aliyekwenda Ankara kikazi akapata kufia dini yake huko katika dhuluma ya kaisari Aurelian kwa kutupwa motoni halafu kupigiliwa misumari miguuni, mikononi na kichwani chini ya gavana Felisi [1]
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi, na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 29 Novemba[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads