The Fugees
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
The Fugees ni kundi la muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Kundi lilianza kupata umaarufu wake kunako miaka ya 1990, ambao wanapiga muziki wenye elementi ya Hip hop, soul na muziki wa Kikaribi, hasa reggae. Wanachama wa kundi hili ni rapa/mwimbaji/mtayarishaji Wyclef Jean, rapa/mwimbaji/mtayarishaji Lauryn Hill, na rapa Pras Michel.
Jina lao linatokana na istilahi ya refugees, yaani, wakimbizi. Jean na Michel ni Wahaiti-Waaerika, wakati Hill ni Mwafrika-Mwamerika. Kundi limerekodi alabamu mbili— moja kati ya hizo ni The Score (1996), ilitapa kutunukiwa maplatinum-mengi na pia imepata kushinda Tuzo ya Grammy — kabla ya kuua kundi mnamo 1997.
Hill na Jean kila mmoja amekwenda kuapata mafanikio makubwa sana wakiwa kama wasanii wa wakujitegemea; Michel akajikita kwenye masuala ya kurekodi vibwagizo vya filamu na uigizaji, ingawaje alipata mafanikio makubwa kabisa baada ya kutoa wimbo wake wa "Ghetto Supastar". Mnamo 2007, MTV wamepandishi nafasi ya 9 wakiwa kama kundi bora la Hip-hop la muda wote[1]
Remove ads
Historia
Diskografia
Masingle yao
A Zilizoshika kwenye chati za Billboard Bubbling Under Hot 100 Singles.
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads