It Was Written
Albamu ya Nas From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
It Was Written ni albamu ya pili ya rapa wa Marekani Nas. Albamu ilitolewa mnamo 2 Julai 1996 kupitia studio ya Columbia Records huko nchini Marekani. Kufuatia uwastani wa mafanikio ya kimauzo katika albamu yake ya kwanza, Illmatic (1994), Nas ameamua kujihusisha zaidi katika miondoko ile yenye mwelekeo wa kawaida. Hasa kwa kufanya kazi na Trackmasters, ambapo ni safari yake kutoka katika hali kutojulikana, toni zake akiwa kama msanii wa chini katika albamu yake ya kwanza - na kuja katika hali nyingine kabisa, msikiko wa kawaida kama wasanii wengine wakubwa. Albamu ina ladha ya mtindo wa mafioso na gangsta, jumlisha kuonekana kwake kwenye kundi bab-kubwa lililovuma kwa muda The Firm, ambalo liliunganishwa na marapa kama vile Foxy Brown, AZ, na Cormega.
Albamu imethibitisha kuwa ndiyo albamu ya Nas iliyopata mafanikio makubwa kwa kutolewa, kwa kuingia nafasi ya kwanza katika chati za Billboard 200 na kuuza nakala milioni 3 dunia nzima. Pia imepigisha mbiu kwa kuleta umaarufu mtindo anaotumia Nas, licha kukata rufaa kwake kwa kuzuiwa kimafanikio na albamu ziingine za mafiaso rap kama vile Only Built 4 Cuban Linx… (1995) na Reasonable Doubt (1996). Hata hivyo, mabadiliko yake ya kistaili na kuongezeka kwa mafanikio na umaarufu wake imepelekea uvumi wa kwamba anatoa kitu kidogo kwa wanajumuia ya hip hop. It Was Written nayo ilipokea tahakiki mchanganyiko kutoka kwa watahakiki kadhaa kwa kutofikia uwastani wa Illmatic.
Remove ads
Orodha ya nyimbo
Remove ads
Historia ya chati
Nafasi za chati
Remove ads
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads