Joji wa Suelli
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Joji wa Suelli (Cagliari, Sardinia, Italia, karne ya 11 - Suelli, Cagliari, 23 Aprili 1117) alikuwa askofu wa Suelli, kijiji cha Italia visiwani kuanzia umri wa miaka 22 hadi kifo chake[1].
Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Aleksanda III mwaka 1159[2], tena na Papa Paulo V mwaka 1609.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads