Krete

From Wikipedia, the free encyclopedia

Krete
Remove ads

Krete (kwa Kigiriki Κρήτη, Kríti, matamshi ya kale, Krḗtē) ni kisiwa kikuu na chenye watu wengi zaidi cha Ugiriki, na ni cha tano katika Bahari ya Kati, baada ya Sicily, Sardinia, Cyprus na Corsica.

Thumb
Bandari ya Heraklion.

Pamoja na visiwa vya jirani vya bahari ya Aegean kinaunda mkoa wa Krete (Περιφέρεια Κρήτης), mmoja kati ya 13 ya nchi nzima. Mwaka 2011, mkoa huo ulikuwa na wakazi 623,065.

Mji mkuu na mji mkubwa ni Heraklion.

Krete ni sehemu muhimu ya ustaarabu na uchumi wa Ugiriki ukidumisha upekee wake katika utamaduni (kwa mfano upande wa ushairi na muziki).

Remove ads

Historia

Zamani (27001420 KK hivi) Krete ilikuwa kiini cha ustaarabu wa Minoa, wa kwanza kustawi huko Ulaya.[1]

Inatajwa na Biblia[2] pamoja na tabia za wakazi wake.

Katika miaka ya 60 Mtume Paulo alimuacha huko askofu Tito ili aweke wakfu mapadri katika kila mji. Halafu alimuandikia barua maarufu.

Tanbihi

Loading content...

Vyanzo

Viungo vya nje

Loading content...
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads