Maudeto
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Maudeto (pia: Maudez, Maudé, Maudet, Maodez, Modez, Maudetus, Mandé na Mawes; Visiwa vya Britania, karne ya 5 – Bretagne, leo kaskazini mwa Ufaransa, karne ya 6 hivi) alikuwa mmonaki ambaye aliinjilisha kwanza Cornwall halafu visiwa vya Bretagne [1] alipoanzisha monasteri akawa abati wake na mlezi wa watakatifu kadhaa [2].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka tarehe 18 Novemba [3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads