Papa Linus

From Wikipedia, the free encyclopedia

Papa Linus
Remove ads

Papa Linus alikuwa Papa kuanzia takriban 68 hadi kifo chake takriban 79[1]. Alitokea mkoa wa Toscana, Italia[2].

Thumb
Papa Linus.

Alimfuata Papa wa kwanza[3], Mtume Petro[4][5][6][7][8][9], akafuatwa na Papa Anacletus.

Ndiye aliyetajwa na Mtume Paulo katika Waraka wa pili kwa Timotheo, 4:21[10] kwamba alikuwa naye mwishoni mwa maisha yake[11].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu na kutajwa katika Kanuni ya Kirumi.

Sikukuu yake ni tarehe 23 Septemba[12].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading content...

Marejeo

Viungo vya nje

Loading content...
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads