Papa Yohane IX
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Yohane IX, O.S.B. alikuwa Papa kuanzia Desemba 897 au Januari 898 hadi kifo chake mnamo Januari/Mei 900[1]. Alitokea Tivoli, Lazio, Italia[2].

Alimfuata Papa Theodori II akafuatwa na Papa Benedikto IV.
Tazama pia
Maandishi yake
- Opera Omnia kadiri ya Migne katika Patrologia Latina pamoja na faharasa
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads