Rafka Petra
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Rafka Petra Choboq Ar-Rayès, O.L.M. (kwa Kiarabu: رفقا بطرسيّة شبق ألريّس; Himlaya, 29 Juni 1832 – Jrebta, 23 Machi 1914), alikuwa mwanamke mmonaki wa Kanisa la Wamaroni nchini Lebanon.


Baada ya kujiunga la masista walimu alichukua nafasi ya kujifungia monasterini kwa maisha ya sala na toba zaidi, ambayo yaliendana na upofu kwa miaka 30 na maumivu mengi ya kiafya aliyoyapokea na kuyatoa kama sadaka akimtegemea Mungu tu [1].
Bikira huyo alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri tarehe 16 Novemba 1985, halafu mtakatifu tarehe 10 Juni 2001.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads