Saksonia Chini

From Wikipedia, the free encyclopedia

Saksonia Chini
Remove ads

Saksonia ya chini (Kijerumani:Niedersachsen) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 7,9 kwenye eneo la 47 609 km². Mji mkuu ni Hannover. Waziri mkuu ni Stephan Weil (SPD).

Thumb
Mahali pa Saksonia ya chini katika Ujerumani
Thumb
bendera ya Saksonia ya chini

Jiografia

Saksonia ya chini imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Rhine Kaskazini - Westfalia, Hesse, Saksonia-Anhalt, Mecklenburg-Pomerini, Schleswig-Holstein, Hamburg na Bremen.

Miji mikubwa ni pamoja na Hannover, Braunschweig, Göttingen, Oldenburg na Wolfsburg.

Elbe na Weser ni mito muhimu zaidi.

Picha za Saksonia ya chini

Tovuti za Nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Saksonia Chini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Maelezo zaidi Majimbo ya Ujerumani ...
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads