Tilone
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tilone (pia: Thillon, Tillon, Til, Theau, Théau, Tillo, Tilman, Tillmann, Thielmann; Westfalen, leo nchini Ujerumani, 608 - Solignac, leo nchini Ufaransa, 702) alikuwa mtumwa halafu mwanafunzi wa Eligius wa Noyon [1].

Kisha kuongokea Ukristo, alipata kuwa mmonaki huko Solignac karibu na Limoges katika mkoa wa Akwitania, padri, mmisionari [2] na hatimaye askofu wa Tournai, halafu akaenda kuishi pangoni kama mkaapweke[3][4].
Baada ya kuanzisha huko monasteri kwa wafuasi wake 30, alirudi Solignac[5].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads