Ursula Ledochowska
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ursula Ledochowska (jina la kitawa: Ursula wa Yesu; Loosdorf, Melk, Austria ya Chini, 17 Aprili 1865 – Roma, Italia, 29 Mei 1939) alikuwa mtawa wa Polandi, mwanzilishi wa shirika la Waursula wa Moyo Mteseka wa Yesu[1][2][3].

Kwa ajili hiyo alisafiri kwa shida sana katika nchi za Polandi, Skandinavia, Ufini na Urusi [4].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 20 Juni 1983, akamtangaza mtakatifu tarehe 18 Mei 2003[5].
Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka kwenye tarehe ya kifo chake[6].
Shirika lake lilipata kibali cha Papa tarehe 4 Juni 1923. Kufikia mwaka 2005 lilikuwa na masista 832 katika nyumba 98 zikiwemo zile za Tanzania.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
