Gwalfadi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Gwalfadi, O.S.B.Cam. (kwa Kijerumani: Wolfhard[1]; Augsburg, leo nchini Ujerumani, 1070 hivi - Verona, leo nchini Italia, 30 Aprili 1127) alikuwa fundi aliyeishi zaidi ya miaka ishirini kama mkaapweke msituni, na hatimaye alijiunga na Wakamaldoli miaka kumi ya mwisho ya maisha yake, ingawa alikuwa na chumba chake nje ya monasteri yao, alipokuwa akitembelewa na waumini wengine[2].
Tangu kale huheshimiwa kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads