Mapambo ya vito

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mapambo ya vito
Remove ads

Mapambo ya vito ni vitu vya nakshi ambavyo huvaliwa katika mwili au hata katika nguo alizovaa mtu. Jina hilo hutumiwa kwa vitu vyovyote vilivyompamba mtu.

Thumb
Mmasai mwanamume wa Kenya aliyejipamba kadiri ya utamaduni wa kabila lake.

Vinatumiwa hasa na wasichana, wanamitindo waliobobea katika fasheni, lakini wanaume pia huwa na mapambo yao.

Remove ads

Kazi yake

Mapambo hayo huvaliwa kwa malengo tofauti kama vile:

  • Kuonyesha kwamba mtu anajiweza, ni tajiri, mwenye uwezo wa kujipamba kwa vito
  • Kwa kuonekana mwenye kupendeza, kwa mfano kikuba hushika nywele vizuri
  • Katika jamii fulani, kwa kumlinda mtu kutokana na ulozi au uchawi
  • Kwa kuonyeshana kwamba ni mmoja wa kikundi fulani cha jamii au dini.

Aina zake

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads