Papa Anicetus
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Anicetus alikuwa Papa kuanzia takriban 150/157 hadi kifo chake takriban 153/168[1]. Alitokea Emesa, Syria[2].

Alimfuata Papa Pius I akafuatwa na Papa Soter.
Kwa msaada wa Yustino alipinga uzushi wa Gnosi na wa Marcio [3][4].
Alimpokea kidugu Polikarpo kujadili kwa amani suala la adhimisho la Pasaka ya Kikristo[5]. Pia mwanahistoria Egesipo alitembelea Roma wakati wa Upapa wa Anicetus[6].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Maandishi yake
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads