Papa Soter
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Soter alikuwa Papa kuanzia takriban mwaka 162/168 akaendelea hadi kifo chake mwaka 170/177)[1][2]. Alitokea Fondi, Italia[3].

Alimfuata Papa Anicetus akafuatwa na Papa Eleutero.
Katika barua iliyotufikia, Denis wa Korintho alimsifu kwa ukarimu wake mkubwa kwa Wakristo waliofukuzwa au kupelekwa migodini kufanya kazi ya shokoa[4].
Soter anatajwa kwa kutamka kuwa ndoa ya Kikristo ni halisi ikiwa tu sakramenti iliyobarikiwa na padri na kwa kuanzisha Pasaka kama sherehe ya kila mwaka mjini Roma.[5]
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads