Papa Felix I
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Felix I alikuwa Papa kuanzia tarehe 5 Januari 269 hadi kifo chake tarehe 30 Desemba 274[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Alimfuata Papa Dionysius akafuatwa na Papa Eutychian, akiongoza Kanisa wakati wa kaisari Aurelianus [3].
Alitoa barua muhimu kuhusu umoja wa nafsi ya Kristo na kwa msaada wa kaisari Aureliani alitatua farakano la Antiokia kuhusu Utatu Mtakatifu wa Mungu pekee[4][5].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Maandishi yake
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads