Young Africans S.C.

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Young Africans S.C. (maarufu kama Yanga, jina kamili ni Young Africans Sports Club) ni timu ya soka ya nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935, inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Jina la utani Timu ya Wananchi au Wanajangwani.

Ukweli wa haraka Jina la utani, Imeanzishwa ...

Imepata kuwa mabingwa mara 30 nchini na mabingwa mara 5 kombe la mabingwa Afrika Mashariki Kagame.[1]

Katika ngao ya jamii Yanga imeifunga Azam FC kwa jumla ya magoli 8 kwa 7, takribani mara tatu kwa Azam FC kukutana na Yanga katika Ngao ya Jamii na Yanga kumfunga Azam kwenye mechi zote tatu.[2]

Remove ads

Wachezaji

Kikosi Cha Sasa

As of As of 16 April 2025

Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.

Maelezo zaidi Na., Nafasi ...

Wachezaji wa kigeni

Ligi Kuu ya Tanzania inaruhusu wachezaji wa nje kumi na mbili(12). Yanga kwa sasa wanatumia wachezaji wa kigeni wafuatao:

  • Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Maxi Nzegeli
  • Mali Djigui Diarra
  • Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Shedrak Boka
  • Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Andey Boyeli
  • Côte d'Ivoire Pacóme ZouaZoua
  • Côte d'Ivoire Mohamed Doumbia
  • Gine Balla Conte
  • Côte d'Ivoire Celéctin Ecua
  • Mali Laussine Kouma
  • Uganda Duke Abuya
  • Zimbabwe Price Dube
  • Ghana Frank Assinki
Remove ads

Heshima

Ndani ya Nchi

Thumb
Ofisi kuu za Young Africans zilizoko barabara ya Twiga, Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania Mashariki
  • Ligi Kuu Tanzania[3]
  • Kombe la FA Tanzania[4]
    • Mabingwa (3): 1975, 1994, 1999
    • Makombe (1): 2001
  • Kombe la FAT[5]
    • Mabingwa (3): 2015–16, 2021/22, 2022/23
    • Makombe (2): 1996, 2021
  • Kombe la Tusker[4]
    • Mabingwa (7):1986,1992,1987,2000,2005,2007, 2009
    • Makombe (3): 2001, 2002, 2005.
  • Kombe la Mapinduzi[4]
    • Mabingwa (3): 2003,2004, 2021
    • Makombe (1): 2011
  • Ngao ya Jamii[4]
    • Mabingwa (7): 2001, 2010, 2013, 2014, 2015, 2021,2022
    • Makombe (7): 2002, 2005,2013,2009, 2011, 2016, 2017

Bara

Kombe la CECAFA[6]

  • Mabingwa (5): 1975, 1993, 1999, 2011, 2012
  • Makombe (3): 1976, 1986, 1990

Kombe la Shirikisho la CAF

  • Makombe (1): 2023
Remove ads

Ufundi katika Mashindano ya CAF

1997 – Raundi ya Awali
1998 – Hatua ya Makundi (Nane Bora)
2001 – Raundi ya Pili
2006 – Raundi ya Awali
2007 – Raundi ya Pili
2009 – Raundi ya Kwanza
2010 – Raundi ya Awali
2012 – Raundi ya Awali
2014 – Raundi ya Kwanza
2016 – Raundi ya Pili
2017 – Raundi ya Kwanza
2022 – Raundi ya Kwanza
2023 – Robo fainali
1969 – Robo-fainali
1970 – Robo-fainali
1971 – Kujitoa katika Raundi ya Pili
1972 – Raundi ya Kwanza
1973 – Raundi ya Kwanza
1975 – Raundi ya Pili
1982 – Raundi ya Pili
1984 – Raundi ya Kwanza
1988 – Raundi ya Kwanza
1992 – Raundi ya Kwanza
1996 – Raundi ya Awali
  • Kombe la Shirikisho la CAF: Onyesho 6
2007 – Raundi ya Kati
2008 – Raundi ya Kwanza
2011 – Raundi ya Awali
2016 – Hatua ya Makundi (Nane Bora)
2018 – Hatua ya Makundi (16 Bora)
2022–23 – Mshindi wa Pili
1994 – Raundi ya Kwanza
1999 – Raundi ya Kwanza
  • Kombe la Washindi wa Mataji la CAF: Onyesho 2
1995 – Robo-fainali
2000 – Raundi ya Kwanza

Nembo

Thumb
Nembo ya zamani

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads