Orodha ya nchi kwa Pato la Taifa
Orodha ya nchi kwa pato la taifa 2024 From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Hii ni orodha ya nchi kulingana na pato la taifa mnamo Oktoba 2024. Pato la taifa huchapishwa na Shirika la Kifedha la Kimataifa mara mbili kwa mwaka, mnamo Aprili na Oktoba.[1] Pato la Taifa ni thamani ya soko ya bidhaa na huduma zote za mwisho kutoka kwa taifa fulani katika mwaka fulani. Nchi zimepangwa kulingana na makadirio ya PLT ya kawaida kutoka kwa taasisi za kifedha na takwimu, ambazo huhesabiwa kwa kutumia viwango vya kubadilisha fedha vya soko au vile rasmi vya serikali. PLT ya kawaida haizingatii tofauti za gharama ya maisha katika nchi tofauti, na matokeo yanaweza kutofautiana sana kutoka mwaka mmoja hadi mwingine kutokana na mabadiliko ya viwango vya ubadilishaji wa sarafu ya nchi husika.

Remove ads
Orodha
Hii ni orodha ya nchi kulingana na pato la taifa chapisho la 2024 kutoka Shirika la Kifedha la Kimataifa
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads