Chad wa Mercia
Askofu Mkuu wa York; Askofu wa Lichfield From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Chad (au Ceadda; alifariki 2 Machi 672) alikuwa abati wa monasteri mbalimbali za Uingereza, halafu askofu wa York na hatimaye wa Lichfield.

Alijitahidi kufanya uchungaji kwa ukamilifu wa maisha kufuatana na mifano bora ya Mababu wa Kanisa.
Pamoja na kaka yake Cedd anasifiwa kwa kuingiza Ukristo katika ufalme wa Mercia[1] ambao wakati huo ulikuwa na ufukara mkubwa.[2].
Wote wawili wanaheshimiwa tangu kale kama watakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Marejeo ya lugha nyingine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads