24 Januari
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tarehe 24 Januari ni siku ya ishirini na nne ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 341 (342 katika miaka mirefu).
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
Waliozaliwa
- 1814 - John William Colenso, askofu wa Kanisa Anglikana nchini Afrika Kusini kutoka Uingereza
- 1862 - Edith Wharton, mwandishi kutoka Marekani
- 1923 - Santha Rama Rau, mwandishi kutoka Uhindi
- 1941 - Dan Shechtman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2011
- 1978 - Kristen Schaal, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1979 - Tatyana Ali, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
- 772 - Papa Stefano III
- 817 - Papa Stefano IV
- 847 - Papa Sergio II
- 1965 - Winston Churchill, Waziri Mkuu wa Uingereza, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1953
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Fransisko wa Sales, Felisiani wa Foligno, Sabinianus wa Troyes, Babila na wenzake, Esuperansi wa Cingoli n.k.
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 24 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads