Kibla
Muelekeo unaopaswa kuelekea Muislamu anaposwali wakati wa swala From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kibla (kutoka Kiarabu: قبلة qiblah kwa maana ya "mwelekeo") ni neno la kutaja mwelekeo wa sala katika dini ya Uislamu. Mwislamu anatakiwa kusali mara tano kila siku akitazama upande wa Makka.[3]


Misikiti huwa na kidaka kinachoitwa mihrabu kwenye ukuta. Mihrabu inaonyesha upande wa kibla.
Katika historia ya Uislamu kibla ya kwanza ilielekea Yerusalemu. Kilibadilishwa kwa njia ya ufunuo mpya kuelekea Kaaba ya mjini Makka.
Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads