Linosa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Linosa ni kisiwa cha pili katika Visiwa vya Pelagie, funguvisiwa la Afrika ya Kaskazini katika Bahari ya Kati, kati ya Malta na Tunisia.
Kisiasa vinaunda pamoja kijiji cha Jamhuri ya Italia.
Visiwa hivyo ni vitano, ila vinavyokaliwa na watu ni viwili tu: Lampedusa (5,000) na Linosa (1,500).
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Linosa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads