Visiwa vya Pelagie

From Wikipedia, the free encyclopedia

Visiwa vya Pelagie
Remove ads

Visiwa vya Pelagie ni funguvisiwa la Afrika ya Kaskazini katika Bahari ya Kati, kati ya Malta na Tunisia.

Thumb
Visiwa vya Pelagie katika ramani.

Kisiasa vinaunda kijiji cha Jamhuri ya Italia.

Visiwa hivyo ni vitano, ila vinavyokaliwa na watu ni viwili tu: Lampedusa (5,000) na Linosa (1,500).


Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Visiwa vya Pelagie kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads