César Cui

From Wikipedia, the free encyclopedia

César Cui
Remove ads

César Cui (18 Januari 1835 - 26 Machi 1918) alikuwa mtunzi maarufu wa Opera kutoka nchini Urusi. Nae ni mmoja kati ya watunzi watano mashuhuri wa Urusi, ambao walipewa jina la utani la “Moguchaya Kuchka” (kwa Kisw. “Watu wenye Uwezo”), watu hao walikuwa Mily Balakirev, Nikolai Rimsky-Korsakov, Modest Mussorgsky na Alexander Borodin. Baba wa Cui’s anatokea nchini Ufaransa na mama yake anatokea Lithuania.

Thumb
César Cui.

Kama ilivyokuwa watunzi wengine wa Kirusi wa karne ya 19, nae huyu alikuwa akifanya shughuli hizi kwa upenzi tu na sio kimapato. Kazi yake rasmi ilikuwa kama fundi katika ngome ya jeshi. Pia alikuwa profesa katika masuala ya kiisimu na alitunga vitabu kadhaa vinavyo husu maswala ya ulinzi katika jeshi. Vilevile aka jenerali katika jeshi.

Remove ads

Viungo vya nje





WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:





Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads