Franz Berwald

From Wikipedia, the free encyclopedia

Franz Berwald
Remove ads

Franz Adolf Berwald (23 Julai 17963 Aprili 1868) alikuwa mtunzi maarufu wa Opera kutoka nchini Uswidi. Nae alikuwa mmoja kati ya watunzi muhimu wa Opera wa karne ya 19. Alizaliwa mjini Stockholm, na huyu hakubahatika kuwa na wapenzi kabisa katika tungo zake. Hivyo ikamgharimu kutafuta njia nyingine za kumwezesha kuishi.

Thumb
Franz Berwald.

Viungo vya nje


Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Franz Berwald kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.






Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads