Rhine-Palatino

From Wikipedia, the free encyclopedia

Rhine-Palatino
Remove ads

Rhine-Palatino (kwa Kijerumani: Rheinland-Pfalz) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 4,0 kwenye eneo la km² 19,847. Mji mkuu ni Mainz. Waziri mkuu ni Maria Luise Dreyer (SPD).

Thumb
Mahali pa Rhine-Palatino katika Ujerumani
Thumb
bendera ya Rhine-Palatino

Jiografia

Rhine-Palatino imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Rhine Kaskazini-Westfalia, Hesse, Baden-Württemberg na Saarland.

Rhine na Mosel ni mito muhimu zaidi. Mito zingine ni Lahn, Aje, War, Sieg, Saar.

Kuna sehemu ya ardhi tano huko jimbo, ni Westerwald, Taunus, Eifel, Hunsrück na Pfälzerwald.

Miji

Miji mikubwa

Kuna miji mikubwa mitano (kuanzia wakazi laki moja):

Miji midogo

Picha za Rhine-Palatino

Viungo vya nje

Ukweli wa haraka


Maelezo zaidi Majimbo ya Ujerumani ...
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rhine-Palatino kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads