CNN

From Wikipedia, the free encyclopedia

CNN
Remove ads

Cable News Network (Kifupi: CNN) ni stesheni ya runinga inayotangaza habari iliyoanzishwa na Ted Turner mnamo 1980.[1] CNN ilikuwa stesheni ya kwanza inayotangaza habari masaa 24.[2] Makao yake makuu yako mjini Atlanta, ingawa ina vituo vingine mjini New York, Washington, D.C. na Los Angeles. Kauli yake mbiu ni The Worldwide Leader in News.

Thumb
Nembo ya CNN

Vipindi

Vipindi vinavyonyeshwa sasa

Maelezo zaidi Jumatatu - Ijumaa, North American Eastern Standard Time Zone|ET ...

Wachambuzi wa kisiasa

  • Jack Cafferty, Mwanahabari
  • Gloria Borger, Mchambuzi mkuu wa siasa
  • Candy Crowley, Mwanahabari mkuu wa siasa
  • Ali Velshi, Mwanahabari wa biashara
  • Jeff Toobin, Mchambuzi mkuu wa sheria
  • Bill Schneider, Mwanahabari mkuu wa siasa
  • David Gergen, Mchambuzi mkuu wa siasa
  • John King, Mwanahabari mkuu
Remove ads

Stesheni maalum

Thumb
Mahojiano katika CNN en Español
  • CNN.com Live
  • CNN Airport Network
  • CNN Checkout Channel
  • CNN en Español
  • HLN (TV network)|HLN
  • CNN International
  • CNN+ (a partner network in Spain, launched in 1999 with Sogecable)
  • CNN TÜRK A Turkish media outlet.
  • CNN-IBN An Indian news channel.
  • CNNj A Japanese news outlet.
  • CNN Chile A Chilean news channel launched on 4 Desemba 2008.
  • n-tv German 24 hour news channel in German language. In 2009, on air graphic (DOG position and news ticker) is like CNN. Owned by RTL Group
Remove ads

Ofisi

Thumb
Ofisi za CNN kote duniani
Thumb
Kituo cha CNN mjini Atlanta.
Thumb
Studio ya CNN.

Marekani

Ofisi zingine duniani

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads