Laos

From Wikipedia, the free encyclopedia

Laos
Remove ads


Laos (kwa Kilao: ລາວ), rasmi kama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Laos, ni nchi isiyo na pwani iliyoko katika eneo la Kusini-Mashariki mwa Asia. Inapakana na Uchina upande wa kaskazini, Vietnam upande wa mashariki, Kambodia upande wa kusini, Uthai upande wa magharibi, na Myanmar upande wa kaskazini-magharibi. Kwa idadi ya watu, ambao ni takriban milioni 8, Laos ni nchi ya 103 duniani, na ya 23 barani Asia. Mji mkuu wake ambao pia ni jiji kubwa zaidi ni Vientiane. Laos inajulikana kwa mandhari yake ya milima na misitu, historia ya kifalme, utamaduni tajiri wa Kibuddha, na Mto Mekong unaopita katikati ya nchi.

Ukweli wa haraka
Remove ads

Watu

Wakazi wengi (53.2%) ni Walao, 11% ni Wakhmu, 9% Wahmong n.k.

Lugha rasmi ni Kilao pamoja na Kifaransa.

Upande wa dini, 66% ni Wabuddha wa madhehebu ya Theravada. 30.7% wanafuata dini za jadi (Satsana Phi) na 1.5% ni Wakristo, wakiwemo kwanza Waprotestanti, halafu Wakatoliki.

Tazama pia

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Specialist
Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Laos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads