Eurowings

From Wikipedia, the free encyclopedia

Eurowings
Remove ads

Eurowings GmbH ni kampuni ya ndege inayotoa huduma kwa bei nafuu nchini Ujerumani, yenye makao makuu huko Düsseldorf na inayomilikiwa kikamilifu na kundi la Lufthansa.

Thumb
Nembo ya kampuni ya ndege za Eurowings
Thumb
Ndege za Eurowings.

Ilianzishwa mwaka 1996 ikiwa kampuni ya mtu binafsi na tangu 2011 ni mali ya Lufthansa. Hutumikia mtandao wa vikomo yva ndani ya Ulaya pamoja na vikomo vya mbali nje ya Ulaya. Vituo vikuu viko kwenye uwanja wa ndege wa Berlin Tegel, uwanja wa ndege wa Cologne Bonn, uwanja wa ndege wa Düsseldorf, uwanja wa ndege wa Hamburg, uwanja wa ndege wa Hannover, uwanja wa ndege wa Munich, uwanja wa ndege wa Nuremberg, uwanja wa ndege wa Palma de Mallorca, uwanja wa ndege wa Salzburg, uwanja wa ndege wa Stuttgart, na Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Vienna.

Remove ads

Vikomo vya safari

Thumb
Eurowings Airbus A320-200
[B]Uwanja wa nyumbani
[F]Kikomo kijacho
[S]Kikomo cha muda
[T]Kikomo kisichohudumiwa tena
Maelezo zaidi Mji, Nchi ...
Remove ads

Tanbihi

Loading content...
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads