Deutsche Lufthansa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Deutsche Lufthansa
Remove ads

Deutsche Lufthansa ni shirika ya ndege kubwa zaidi kwenye bara Ulaya, kulingana na jumla ya wasafiriwa inabeba. Ni ndege kuu nchini Ujerumani. Jina la kampuni hili linatokana na Luft (neno la Kijerumani linalomaanisha "hewa") na Hansa (baada ya "Hanse" iliyokuwa ushirikiano mashuhuri wa wafanyabiashara thabiti).

Ukweli wa haraka IATA LH, ICAO DLH ...
Thumb
Ofisi ya zamani ya Lufthansa mjini Cologne, Ujerumani

Ofisi kuu ipo mjini Cologne, na makao makuu ya ndege zake ni kwenye uwanja wa ndege wa Frankfurt am Main, na makao yake mingine ni uwanja wa ndege wa Munich.[3][4]

Lufthansa ndio mwanachama mwanzishi wa Star Alliance. Star Alliance ilianzishwa mnamo 1997 pamoja na Thai Airways, United Airlines, Air Canada, na Scandinavian Airlines. Lufthansa inahudumu zaidi ya ndege 500 na imewaajiri watu 105,261 kote duniani (31 Desemba 2007). Mnamo 2008, wasafiriwa milioni 70.5 walisafiria kwa kutumia Lufthansa.

Remove ads

Shirika

Lufthansa inamiliki au ina shirika na kampuni kadhaa:

  • Air Dolomiti, ambayo ni ndege iliyo na makao yake mjini Ronchi dei Legionari, Italy, inamilikiwa na Lufthansa.
  • Austrian Airlines, ndege ya kitaifa nchini Austria, iliyo na makao yakw mjini Schwechat, Austria.
  • BMI (airline), ambayo ni ndege nchini Uingereza inayomilikiwa na Lufthansa.
  • Brussels Airlines, mnamo 1 Julai 2009, Lufthansa ilinunua hisa za 45% na ina azma ya kununua 55% iliyobaki mnamo 2011.
  • Eurowings, ambayo Lufthansa wamenunua 45% ya hisa zake.
  • Germanwings, inamilikiwa kikamili na Lufthansa.
  • JetBlue - ambayo Lufthansa wana 19% ya hisa zake.[5]
  • Lufthansa Cargo, kampuni inayomilikiwa kikamili na Lufthansa.
Remove ads

Ndege zake

Thumb
Ndege aina ya Airbus A319-100
Thumb
Ndege aina ya Airbus A320
Thumb
Ndege aina ya Boeing 737-500
Maelezo zaidi Aina ya ndege, Namba ...
Remove ads

Ndani ya ndege

Thumb
Ndani ya Lufthansa Boeing 747-400 Business Class
Thumb
Ndani ya Lufthansa Airbus A340-600 Economy Class

Intercontinental

First Class: Lufthansa First Class ipo kwenye ndege ya Boeing 747, Airbus A330 na A340. Kila kiti hugeuka kuwa kitanda cha mita mbili, na kuna vifaa vya burudani. Vyakula pia hutolewa.

Business Class: Kila kiti hugeuka na kuwa kitanda cha mita mbili. Pia, kuna viburudisho.

Economy Class: Wasafiriwa hupata vyakula na vinywaji vya bure.

Miji inayosafiria

Afrika

Afrika Kaskazini

Afrika ya Kati

Afrika Mashariki

Afrika Kusini

Afrika Magharibi

Remove ads

Marekani

Amerika ya Kaskazini

  • Canada
    • Calgary - Calgary International Airport
    • Montreal - Montréal-Pierre Elliott Trudeau International Airport [seasonal]
    • Toronto - Toronto Pearson International Airport
    • Vancouver - Vancouver International Airport
  • Mexico
  • Marekani
    • Atlanta - Hartsfield-Jackson Atlanta International Airport
    • Boston - Logan International Airport
    • Charlotte - Charlotte/Douglas International Airport
    • Chicago - O'Hare International Airport
    • Dallas/Fort Worth - Dallas/Fort Worth International Airport
    • Denver - Denver International Airport
    • Detroit - Detroit Metropolitan Wayne County Airport
    • Houston - George Bush Intercontinental Airport
    • Los Angeles - Los Angeles International Airport
    • Miami - Miami International Airport
    • Newark - Newark Liberty International Airport
    • New York City - John F. Kennedy International Airport
    • Orlando - Orlando International Airport
    • Philadelphia - Philadelphia International Airport
    • San Francisco - San Francisco International Airport
    • Seattle - Seattle-Tacoma International Airport
    • Washington, D.C. - Washington Dulles International Airport

Amerika Kusini

Remove ads

Asia

Asia ya Kati

Asia Mashariki

  • Uchina
    • Beijing - Beijing Capital International Airport
    • Hong Kong - Hong Kong International Airport
    • Guangzhou - Guangzhou Baiyun International Airport
    • Nanjing - Nanjing Lukou International Airport
    • Shanghai - Shanghai Pudong International Airport

Asia Kusini

  • India
    • Bangalore - Bengaluru International Airport
    • Chennai - Chennai International Airport
    • Delhi - Indira Gandhi International Airport
    • Hyderabad - Rajiv Gandhi International Airport
    • Kolkata - Netaji Subhash Chandra Bose International Airport
    • Mumbai - Chhatrapati Shivaji International Airport
    • Pune - Pune International Airport
Remove ads

Uropa

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads